• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kisa Cha Mbuzi Na Mjomba Wake - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KISA CHA MBUZI NA MJOMBA WAKE

Ratings

Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Apr 24, 2021
In category:
Sample

SIKU ZOTE JALI MUDA. FIKA SEHEMU HUSIKA KWA WAKATI.

# Kitabu hiki kinamlenga Mtoto wa Darasa la Kwanza hadi la Pili #

Jina la Kitabu: Kisa Cha Mbuzi na Mjomba Wake.

Kwa nini ni muhimu kusoma kitabu hiki:-

(1) Kinaburudisha

(2) Kinafundisha

(3) Picha zilizomo zinamvutia msomaji

(4) Kunamjengea msomaji udadisi

Mhusika Mkuu katika hiki kisa ni Mbuzi.

Mjomba wake Mbuzi alikuwa na Cheo cha Kugawa Mikia.

Ili kupata mkia mkubwa ilibidi kufika kwa wakati.

Mbuzi alichelewa. Akakuta kimebaki kipande kidogo cha mkia.

Alidhani mjomba wake, angembakizia kipande kikubwa.

Alikuwa amekosea.

Kuna msemo usemao " Mtegemea cha nduguye hufa maskini."

Hatimaye, akapata kipande kidogo, kilichosalia.


# KITABU HIKI NI KWA AJILI YA WATOTO WADOGO KUANZIA DARASA LA KWANZA HADI LA PILI#Other products from this category