• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Njia Za Kupata Fedha Bila Jasho - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

NJIA ZA KUPATA FEDHA BILA JASHO

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Oct 01, 2020
In category:
Sample

Elimu ya fedha ambayo haipatikani mashuleni imewekwa ndani ya kitabu hiki. Usikikose kamwe.

Ndani ya Kitabu hiki utapata maarifa yaliyofichika kuhusu fedha, uchumi na maendeleo ya watu kuanzia wewe binafsi hadi wajukuu zako. Utapata uelewa wa jinsi ya kupata fedha bila jasho na hatimaye kufikia hatua za uhuru wa kifedha. Uhuru utakaokupatia maisha ya kula raha duniani wewe hadi wajukuu zako.

 

Mwandishi ni Mwekezaji katika Miradi mbalimbali na ni mwandishi wa vitabu vya elimu ya fedha, Uchumi na maendeleo ya watu (Investor and Books Author).  

 

Uhuru wa kweli maishani. Uhuru wa Kifedha

 A Lifestyle Where People Get Endless Huge money.

 

Hapa Kazi tu au Hapa Bata tu; ni chaguo lako. 

Other products from this category