• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nyakati - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

NYAKATI

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Apr 29, 2021
In category:
Sample

NIA NELSON ni binti mrembo,msomi na mwenye akili nyingi, aliyepitia changamoto nyingi katika ukuaji wake,akajiapiza kusoma kwa bidii,apate kazi nzuri,salama na njema kwake.lakini wakati anawaza hayo jamii nyingine asiyo itambua inaendesha maisha yake katika njia wanayotaka wao,tena pasipo yeye mwenyewe kujua Na zinapofika nyakati haswa za kula matunda mema ya jasho lake, ndio jamhuri inamwambia juu ya WITO wake ,na inapaswa afuate na kutii wito huo ili jina lake liandikwe kwenye kitabu cha historia.


Other products from this category