
Ai Na Bibilia Sawa Na Pesa
Ai + Bibilia = Pesa\\r\\nHiki ni kitabu kinachofundisha namna unavyoweza tumia ai kufundisha watu Kwa kupitia maudhui ya nyimbo hadithi za kwenye bibilia na ukatengeneza kipato.
Ai + Bibilia = Pesa
Hiki ni kitabu kinachofundisha namna unavyoweza tumia ai kufundisha watu Kwa kupitia maudhui ya nyimbo, hadithi za kwenye bibilia na ukatengeneza kipato. Hatufundishi kuuza bibilia, kutombana au kutoza fedha au kufungua kanisa pia Hatufundishi aina yoyote ya biashara ya kuuza neno Mungu zaidi ni kujifunza zaidi juu ya kuunda maudhui yanayolipa zaidi sasa hivi na kaposti kwa namna ya kufundisha ndipo ulipwe.
Ai zone unatumia ni bure ili upate zaidi ni nidhamu na juhudi zako za kutengeneza maudhui bora.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza