Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Biashara Ni Mchakato - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

BIASHARA NI MCHAKATO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 19, 2026
Product Views:
3
In category:
Sample

BIASHARA NI MCHAKATO – MWONGOZO WA FAIDA ENDELEVUrnNa Peter MagawarnrnKwa nini baadhi ya watu wanaendesha biashara kwa miaka mingi bila kupata faida wanayoitarajia, huku wengine wakifanikiwa kukuza biashara zao?rnrnKitabu hiki kinakufunulia misingi muhimu ya kujenga na kuendesha biashara yenye faida endelevu. Utajifunza namna ya kutambua fursa, kuelewa soko, kuvutia wateja, kuongeza mauzo, kusimamia mtaji, kudhibiti gharama na kukuza biashara bila kuiweka hatarini.rnrnKupitia maarifa ya vitendo, mifano ya biashara na mpango kazi wa siku 90, utapata mwongozo wa kubadilisha fikra zako na kuanza kuendesha biashara kwa misingi imara.rnrnUsitafute siri ya kutajirika haraka. Jifunze kujenga biashara inayoweza kukua na kudumu.rnrnBiashara si tukio la siku moja. Ni mchakato!

Biashara ni Mchakato ni kitabu cha maarifa ya ujasiriamali kinachokupa mwongozo wa kuanzisha, kuendesha na kukuza biashara yenye faida endelevu. Kinajadili misingi ya biashara, utafiti wa soko, modeli za biashara, masoko na mauzo, usimamizi wa fedha, huduma kwa wateja, ushindani na mikakati ya ukuaji.


Kitabu hiki kimeandaliwa kwa wajasiriamali wapya, wafanyabiashara na wote wanaotamani kujenga biashara imara na yenye mwelekeo wa muda mrefu.


Ni mwongozo wa vitendo unaokusaidia kufikiri kama mfanyabiashara, kufanya maamuzi sahihi na kuboresha biashara yako hatua kwa hatua.


Mwandishi: Peter Magawa

Mwaka: 2026

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold