
KANUNI ZA KIROHO AMBAZO ZIWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIUCHUMI
Kitabu hiki ni hazina kubwa sana
Wagalatia 4:1’’Lakini nasema ya kuwa mrithi,
wakati wote awapo mtoto, hana tofauti na
mtumwa, angawa ni bwana wa yote;’’
Kuna mambo ambayo mtu/ mwanadamu anahitajika kufahamu, kwa kulingana na mstari huu. Unaweza ikawa Mungu amekuweka mahali na kuna kitu unafanya, inaweza ikawa wewe ni mfanya biashara au ni mtumishi wa Mungu
wa Madhabahuni au Mahali popote ambapo Mungu amekuweka, Hicho kitu alichokupa Mungu; umefanywa kuwa mtawala juu ya hiyo
kazi uliyopewa na Mungu. Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuwa mtumwa katika kazi
unayofanya ingawa wewe ni Bwana wa yote. Ni kweli hiyo kampuni ni yakwako, lakini hiyo kampuni inakutawala, inakuendesha, na unadhani kwanini yaweza mtawala mtu?, ni kwa
sababu ni mtoto mdogo. Mtoto mdogo hajui sana neno la haki kulingana na {Waebrania
5:13’Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana
neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.’’ }
Kuna kanuni ambazo zipo kwaajili ya kumsaidia mwanadamu
afanikiwe kiuchumi katika mahali ambapo yupo.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza