Changamoto Za Kiafya Katika Uzee
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 03, 2022
Product Views:
1,448
Sample
Changamoto Za Kiafya Katika Uzee
Asilimia kubwa ya watu wenye umri mkubwa hupitia changamoto mbalimbali za kiafya ambazo hutokea kutokana na sabababu mbalimbali ikiwemo seli za mwili kutokuwa na uwezo wa kutosha kukabiliana na changamoto mbalimbali za kiafya kutokana na kiwango cha seli kinachozalishwa kuwa kidogo kuliko kiwango kinachoharibika na kuhitajika ndani ya mwili. Hivyo huweza kupelekea mwili kupata changamoto mbalimbali za kiafya.