
CHIGAITAN MAPINDUZI VIJIJINI
Price:
4,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 14, 2022
Product Views:
864
Sample
Chigaitan Mapinduzi vijijini ni kitabu muafaka sana kwa kila mtu mwenye shauku ya kutumia fursa ya vijijini kujiletea maendeleo zaidi na kusaidia vijiji kuondoka kwenye umasikini
Asilimia 75 ya Chakula chote kinacholiwa mjini kinatokea Vijijini,
Asilimia 75 ya watu wapo vijijini wanazalisha kwa ajili ya uchumi wa taifa.
Asilimia 75 ya utajiri wa rasilimali ipo vijijini, toshelevu kabisa kuondoa umasikini.
Asilimia 75 ya Cheap Labour ipo vijijini, tena wanafanya kazi kwa kujituma zaidi.
Asilimia 75 ya Ikolojia bora kwa nyuki na mabonde ya maji ipo vijijini,
Vijiji ni fursa kubwa ya mapinduzi ya Uchumi na kipato.
Ukitaka kuanza uwekezaji wowote fikiri kwanza Vijijini utapiga hatua kubwa sana wewe na kizazi chako.
Chigaitan mapinduzi vijijini ni kitabu muafaka kabisa kukata kiu yako ya governance vijijini, matumizi ya rasilimali vijijini, uwekezaji vijijini na utunzaji wa ikolojia kwa mabadiliko ya uchumi.