Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Matokeo 6 Hatari Ya Zinaa Kwa Mwanadamu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MATOKEO 6 HATARI YA ZINAA KWA MWANADAMU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 17, 2021
Product Views:
1,196
In category:
Sample

Ungojwa hatari unaoleta maangamizo makubwa na hatari sana katika maisha ya MWANADAMU ni Dhambi ya zinaa.Mathayo 12:39, Yesu anakiita kizazi cha zinaa ni kizazi kibaya sana, ni kutokana na MATOKEO yake yanavyoleta madhara makubwa kwa mwanadamu.Hiki kitabu kimekuja kufungua macho ya watu wote kutambua, Dhambi ya zinaa.Inavyo tafuna maisha yao ya kila siku na kizazi chao chote. Kijana ukitaka ufike kwenye kusudi la maisha yako leo ambayo Mungu amekukusudia ; basi tambua madhara ya zinaa.Jambo la kujua leo zinaa, ndio silaha hatari ya shetani kumfanya mtu kutoka \\\" Hero to zero ndio silaha pekee ambayo shetani anaitumia juu ya MWANADAMU, Ili aangamize maisha ya MWANADAMU na kizazi chake chote . Kwa kusoma hiki kitabu kitakusaidia utambue matokeo hatari utakayo pata kama ukifanya zinaa.

Hiki kitabu na imani ,kitawasaidia watu wengi  hasa vijana ambao ndio walengwa wakubwa yaliyoko nyuma yake.

Kama ukisoma kitabu hiki , kitakusaidia kutoka katika utumwa wa roho za zinaa, na pia kitakusaindia kukulinda na hatari kubwa sita anazo pata mwanadamu pale anapo fanya zinaa.

Pia tambua kuna aina mbali mbali mtu anaweza fanya zinaa bila yeye kujua ,wala kutambua,sababu shetani  anaajenda nyingi za siri za kumtumikisha mwanadamu kwenye zinaa bila yeye kujua , hiki kitabu kimefichuwa aina hizo zote zilizo jificha sirini.

Watu wengi leo awajua chanzo cha matatizo yao ya natokana na nini,  ngoja ni kwambie zinaa imeuwa uchumi wa watu wengi,  zinaa imepeleka watu wengi kuzimu , zinaa imeharibu ndoa za watu wengi, zinaa imezuia na kuharibu maono na malengo ya watu wengi, hatima nyingi zimezuiliwa sababu ya zinaa.

  • Zinaa ndio silaha ya shetani kumfanya mtu kutoka  HERO TO ZERO


More Products On Discount
10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold