Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Youtube Channel Growth Guide Ebook - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Youtube Channel Growth Guide Ebook

0
0
 • 5
 • 4
 • 3
 • 2
 • 1
Price:
4,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 28, 2021
Product Views:
613
In category:
Sample

Youtube channel growth guide ni kitabu kwa ajili ya kukufundisha mbinu muhimu za kukuza youtube channel yako kwa haraka zaidi.

Youtube channel growth guide ni kitabu kinachoelezea mbinu muhimu zinazotumiwa na youtube channel creators wakubwa kama Mkbhd,Pewdiepie,Unbox theory,Dan lok,Bright side na wengine wengi kukuza channel zao. Na wewe unaweza ukatumia mbinu hizi kukuza youtube channel yako kwa haraka.

KItabu hiki Kinaelezea ni jinsi gani unaweza kukuza youtube channel yako kwanzia hatua ya chini kabisa na kuifanya iwe kubwa na kupata viewers wengi na subscribers wengi.

Ndani ya kitabu hiki utajifunza vitu vifuatavyo:

 1. .Jinsi ya kutengeneza youtube channel banner yenye mvuto na rahisi ambayo viewer ataelewa rahisi kuhusu dhumuni la channel yako
 2. Vitu gani  muhimu vya kuandika kwenye channel about section ili viewers waelewe kiundani ni videos gani una upload kwenye channel yako.
 3. jinsi ya kutumia channel trailer kuvuta viewers wapya.
 4. Nini maana ya thumbnail na thumbnails  za aina gani zinawavutia viewers waweze kuangalia video zako.
 5. video titles  gani zinawashawishi viewers kuangalia videos zako.
 6.   Vitu gani vya kuandika kwenye video description ili viewers waelewe kiurahisi nini dhumuni la hyo video.
 7. Nini maana ya tags na ni jinsi gani unaweza kutumia tags ili kurahisisha upatikanaji wa video zako kwenye youtube searches.
 8. Nini maana ya endscreen na cards na ni jinsi gani unaweza kuzitumia ili kuwafanya viewers wako waendelea kuangalia video zako mara nyingi kwenye youtube na kuwapeleka hata kwenye website zako ili kuwauzia bidhaa zako.

Jipatie nakala yako ukuze youtube channel yako.

More Products On Discount
10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

25,000 Tsh. 20,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

5,000 Tsh. 4,000 Tsh.
(1)

Sold by: Peter Fabian

Best Sellers List
Best Seller
200 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
1,000 Tsh.

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold