Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Children Bible Club - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

CHILDREN BIBLE CLUB

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 26, 2025
Product Views:
231
Sample

Yesu aliposema enendeni ulimwenguni kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, Wito huu kwa kila mkristo unawajumuisha Watoto katika jamii yetu. Hawa ndio wakristo wa kesho. Tunapowapuuzia/ kutokuwajenga Watoto tunapuuzia kesho yetu na Tunapowekeza kwa Watoto tunawekeza katika kesho yetu.\\\\\\\\r\\\\\\\\nKARIBU SANA. Naamini haupo hapa kwa bahati mbaya.\\\\\\\\r\\\\\\\\nWatoto sio tu kanisa la kesho, bali ni sehemu ya ufalme wa mungu na jeshi lake leo. Na wako tayari kusikia sauti ya mungu, kujifunza neno lake na kutembea katika upendo wake. Lakini wanahitaji mtu wa kuwafundisha na kutembea Pamoja nao.\\\\\\\\r\\\\\\\\nNa mtu huyo anaweza akawa ni wewe.\\\\\\\\r\\\\\\\\nKozi hii imelenga kukuandaa, kukupa maarifa, maono na msingi wa kibibilia, ili uweze kuanzishe klabu ya bibilia katika eneo unaloishi KWA URAHISI. Iwe NI KIJIJINI, SHULENI, KANISANI AU NYUMBANI MWAKO. Mahali POPOTE SALAMA ambapo Watoto WATAKAPOKUTANA na mungu wakue KUPITIA neno lake.\\\\\\\\r\\\\\\\\nDhumuni la BIBLE CLUBS ni kumjenga mtoto kifikra, kihisia na kirihoo kupitia neno la mungu.

Je, umewahi kutamani kumtumikia mungu kupitia watoto? 

KARIBU SANA. Naamini haupo hapa kwa bahati mbaya.

Watoto sio tu kanisa la kesho, bali ni sehemu ya ufalme\\\\\\\\r\\\\\\\\nwa mungu na jeshi lake leo. Na wako tayari kusikia sauti ya mungu, kujifunza\\\\\\\\r\\\\\\\\nneno lake na kutembea katika upendo wake. Lakini wanahitaji mtu wa\\\\\\\\r\\\\\\\\nkuwafundisha na kutembea Pamoja nao.

Na mtu huyo anaweza akawa ni wewe.

Kozi hii imelenga kukuandaa, kukupa maarifa,\\\\\\\\r\\\\\\\\nmaono na msingi wa kibibilia, ili uweze kuanzishe klabu ya bibilia katika eneo\\\\\\\\r\\\\\\\\nunaloishi KWA URAHISI. Iwe NI KIJIJINI, SHULENI, KANISANI\\\\\\\\r\\\\\\\\nAU NYUMBANI MWAKO. Mahali POPOTE SALAMA ambapo Watoto WATAKAPOKUTANA\\\\\\\\r\\\\\\\\nna mungu wakue KUPITIA neno lake.

Dhumuni la BIBLE CLUBS ni kumjenga mtoto kifikra, kihisia\\\\\\\\r\\\\\\\\nna kiroho kupitia neno la mungu.

Katika kozi hii utajifunza:

<!--[if !supportLists]-->·      \\\\\\\\r\\\\\\\\n<!--[endif]-->Mwongozo wa Jinsi ya kupanga na kuanzisha klabu ya bibilia\\\\\\\\r\\\\\\\\nkwanzia mwanzo.

<!--[if !supportLists]-->·      \\\\\\\\r\\\\\\\\n<!--[endif]-->Saikolojia ya makundi tofauti ya Watoto, na information\\\\\\\\r\\\\\\\\nnyingine itakayokuwa usefull kwa mwalimu.

<!--[if !supportLists]-->·      \\\\\\\\r\\\\\\\\n<!--[endif]-->Jinsi ya kuwa mwalimu anayeponya, kuwashauri, WATOTO kutoka\\\\\\\\r\\\\\\\\ndifferent social economic background.

<!--[if !supportLists]-->·      \\\\\\\\r\\\\\\\\n<!--[endif]-->Jinsi ya kufundisha misingi ya kikristo na kueneza maarifa\\\\\\\\r\\\\\\\\nya yesu yawe kiini cha mafunzo na upendo wa mungu

<!--[if !supportLists]-->·      \\\\\\\\r\\\\\\\\n<!--[endif]-->Kama BONUS, Utapata manual special ya kumsaidia mwalimu\\\\\\\\r\\\\\\\\ntopics na jinsi ya kuongoza kipindi. Topics za Manual hii, zimelenga kujibu\\\\\\\\r\\\\\\\\nmaswali mtoto anakuwa nayo kuhusu Mungu, yesu na Imani kwa ujumla.

SO, Hauhitaji kuwa MCHUNGAJI au MWALIMU ILI\\\\\\\\r\\\\\\\\nkuanza. Unahitaji tu moyo ulio tayari na kujikita kwenye kusoma maandiko kwa uaminifu.

NAKUALIKA tupande mbegu ya Kristo katika mioyo ya Watoto,\\\\\\\\r\\\\\\\\nzitakomea na kuzaa matunda kwa utukufu wa mungu. Na hawataisahau njia hii hata\\\\\\\\r\\\\\\\\nukubwani.

\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n\\\\\\\\r\\\\\\\\n

Karibu, tuvune hizi nafsi changa kwa mungu.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
1,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold