FAIDA YA BIASHARA YA MUZIKI
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 10, 2021
Product Views:
2,942
Sample
HOW TO START MUSIC BUSINESS(JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA MUZIKI)
GLOBAL MARKETING AREA ( SOKO LA KIDUNIA)
Muziki umekuwa na soko kubwa sana duniani ukilinganisha na hapo awali, makampuni na wawekezaji wakubwa wameingia katika uwekezaji huu ulimwenguni kote na kupanua wigo wa masoko kulingana ukuaji wa sayansi na teknelojia. Masoko haya ni masoko ya kimtandao (online marketing), wasambazaji wote duniani wameingia katika biashara hii kwa kuzingatia masoko makuu ya kimtandao (online platforms).
Hivyo kwa mtu anaeanza biashara hii ni vyema kuelewa masoko hayo na makampuni mazuri ya kusambaza bidhaa ya muziki wake mbali na soko la ndani