HATIMA
Ulimwengu wa roho unajua ukubwa wa HATIMA yako. Na wewe unapaswa kujua kupitia ulimwengu huo huo.
Nimepata ufunuo huukubwa juu ya watu wanaoishi maisha yao nje ya hatima zao kwakuwa adui amebadili hatima za maisha yao. Ulimwengu wa roho huwa unatangulia mbele kabla yetu kwakuwa unajua nini tumewekewa mbele. Shetani alitangulia mbele ya Ayubu na kuharibu maisha yake wakati huo Ayubu hakuwa akijua kuwa nyuma ya Waseba, Washami, moto na ule upepo kulikuwa na nguvu za shetani. Kilichomsaidia Ayubu, si macho ya rohoni, bali ni Neema ya Mungu na uaminifu wake kwa Mungu. Kitabu hiki cha HATIMA kinakupa mwanga na shauku ya kuingia na wewe katika ulimwengu wa roho huko huko, kupata macho ya rohoni, ili kujua hila za yule mwovu na kupambana kurejesha hatima ya maisha yako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza