KUKATA RUFANI
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 28, 2026
Product Views:
2
Sample
KUKATA RUFANI KWA MUNGUrnNi kitabu ambacho cha kumtia moyo msomaji ama mtu yeyote, anayepitia chabgamoto, yoyote kama ya kukataliwa, kutengwa,kukosa kufikia ndoto yako kwa wakati kwa sababu ya vizuizi vya mwanadamu mwenzako kwa kukosa nafasi yako kwa wakati kimaisha, kwa kukutana na mambo yanayokuzidi nguvu. Hii inapelekea mtu yeyote na muhusika kukaa na imani na kusimama katika toba, na usafi, ukweli na Mungu wako kwa maombi na bidii ya kazi zako za kila siku.
KUKATA RUFANI KWA MUNGU
YAPO MAMBO YA KUVUTIA MSOMAJI KAMA IFUATAVYO:
- USIKATE TAMAA UNAPOPITIA JAMBO GUMU AMA MATESO-MPELEKEE MUNGU ATAMALIZA
- UKWELI, TOBA NA HAKI- NI VITU VITAKAVYOPELEKEA KUKULINDA KATIKA SAFARI YAKO YA MAISHA KWA IMANI
- KUKATALIWA SI MWISHO WA MAISHA SUBIRI WAKATI WA MUNGU UTAFIKA, UTAKUBALIWA NA KUPATA HAKI YAKO
- MUNGU ATAKUINULIA MTU YEYOTE HATA WAKATI AMBAO UNAONA HAUFAI, NA MTU AMBAYE ANADHALAULIWA ILI UFIKIE HATMA YAKO
- CHANGAMOTO NI SEHEMU YA SAFARI YA MAISHA YAKO , LAKINI USIKUBALI ZIKUTOE KWENYE MLENGO WAKO WA MAISHA, WEKA BIDII ILI UFIKIE HATMA.
- kITABU KINA MFANO WA YUSUFUNA ESTANA YESU, ILI KUONYESHA UVUMILIVU WAO HADI KUINULIWA NA KUPOKEA UKUU.
- UJUMBE MKUU NI "USIJATE TAMAA, OMBA NA MUNGU ANAKUSIKIA, ENDELEA MBELE UTASHINDA'.