Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hatua Za Uandishi Bora Wa Kitabu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

HATUA ZA UANDISHI BORA WA KITABU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
2,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 08, 2021
Product Views:
3,682
In category:
Sample

HATUA ZA UANDISHI BORA WA KITABU ni kitabu maalumu ya karne ya 21 kwa ajili ya kusaidia waandishi chipukizi na ambao ni wazoefu katika tasnia hii ya uandishi. Kimeelezea misingi bora ya kuandika kitabu pamoja na suala zima la mauzo ya kazi yako sokoni.

UTANGULIZI
_______________________
A day without learning, is like a day without breathing
Robin Sharma
Siku ikipita bila kujifunza kitu kipya, ni sawa na kukosa pumzi
katika siku hiyo.
______________________
Kuandika kitabu ni moja ya historia kubwa sana
maisha yako ya duniani, unapoandika kitabu unaiachia
dunia historia ya ajabu ambayo haiwezi kufutika kwa
urahisi kabisa. Kuandika kitabu ni upendo wa hali ya juu,
kwa vizazi na vizazi. Kuandika kitabu ni kuufunua upendo
wako kwa watu, na kutaka kuwasaidia watu wengine. Hii
ni alama mahususi ambayo haifutiki hata utakapoondoka
hapa duniani. Kuandika kitabu kuna faida nyingi sana.
Kuandika kitabu ni ishara ya upendo wa juu na kuliishi
kusudi lako. Kwani unaiachia dunia alama isiyoweza
kufutika. Ukiandika kitabu utakumbukwa maisha yako
yote. Hii huambatana na kile kitu ulichonacho na unapenda
dunia ikipate kama ishara ya upendo wako.
Kitabu kinakutoa pale ulipo, kitabu kinaweza kukuketisha
na wafalme. Maudhui uliyoyandika ndani
yanaweza kugusa kila mtu, wakati mwingine maudhui hayo
ibrary katika
, unia abu . ya kitabu
The Adabert Chenche Purpose Library Collection
iv
yatakutaka ukutane na viongozi, au yatakuhitaji
ukafundishe maeneo mbali mbali ambapo utakutana na
watu wa kila aina na fursa mpya zitafunguka huko.
Kitabu hufungua fursa ya ajira mpya, kitabu ni ajira binafsi
kwa mwandishi, kwani hufungua ajira kwa watu wengi
hasa katika maduka ya vitabu, na wauzaji binafsi, hivyo
huchangia pato la mtu mmoja mmoja na taifa kwa jumla.
Kwa sehemu hii fupi ninaamini umepata mguso na shauku
ya kuachilia kile kilichomo ndani yako ili uandike kitabu.
Usikubali kufa na maarifa. Kufa umeiachia dunia tunu, (Die
Empty). Maneno haya yalisemwa na Daktari wa Heshima
Myles Munroe.
Mwl Adabert Chenche

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold