SIRI 7 ZA CAPTION ILI UUZE MTANDAONI
Kitabu hiki kinawalenga wafanyabiashara wote ambao wanajitangaza kwenye mitandao Ya kijamii... Iwe huduma au bidhaa... Kitabu hiki ni msaada wa kuandika Caption/andiko/tangazo ili bidhaa au huduma iuzike kiurahisi baada ya kusoma tangazo la mfanyabiashara yoyote yule au mteja achukue hatua aliyoambiwa bila kulazimishwa kwa kusoma kilochoandikwa kwenye Tangazo.rnrnrnrn Lakini pia kitabu hiki ni msaada kwa wanaotengeneza matangazo ya video kwani kitawasaidia kuandika script inayoshawishi ili kutengeneza Matangazo yao. Na mwisho kitabu hiki ni msaada mkubwa kwa watengenezaji wa maudhui(Videos)Kwenye mtandao wa Youtube na mitandao mingine yenye matumizi ya video kwani kinakurahisishia kuandika Title/kichwa cha habari yenye mvuto ya kufanya kila anayekutana na video yako imshawishi kuitazama
Kitabu hiki kinawalenga wafanyabiashara wote ambao wanajitangaza kwenye mitandao Ya kijamii... Iwe huduma au bidhaa... Kitabu hiki ni msaada wa kuandika Caption/andiko/tangazo ili bidhaa au huduma iuzike kiurahisi baada ya kusoma tangazo la mfanyabiashara yoyote yule au mteja achukue hatua aliyoambiwa bila kulazimishwa kwa kusoma kilochoandikwa kwenye Tangazo.
Lakini pia kitabu hiki ni msaada kwa wanaotengeneza matangazo ya video kwani kitawasaidia kuandika script inayoshawishi ili kutengeneza Matangazo yao. Na mwisho kitabu hiki ni msaada mkubwa kwa watengenezaji wa maudhui(Videos)Kwenye mtandao wa Youtube na mitandao mingine yenye matumizi ya video kwani kinakurahisishia kuandika Title/kichwa cha habari yenye mvuto ya kufanya kila anayekutana na video yako imshawishi kuitazama
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza