JIFUNZE KICHINA KWA LUGHA YA KISWAHILI TOLEO LA 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 21, 2024
Product Views:
88
Sample
Jifunze Kichina Kwa Lugha ya Kiswahili: Toleo la Kwanza ni mwongozo wa kujifunza lugha ya Kichina ulioandaliwa kwa wasemaji \ wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili, ukiwa na maudhui kutoka HSK 1 na mifano ya vitendo, ambao hutawasaidia wasomaji kuelewa na kutekeleza misingi ya lugha hiyo kwa urahisi.
Maelezo ya Kitabu:
- Jifunze Kichina Kwa Lugha ya Kiswahili: Toleo la Kwanza ni mwongozo muhimu kwa yeyote anayetaka kujifunza Kichina. Kitabu hiki kinatoa msingi mzuri wa kujifunza, kikijumuisha maudhui makuu kutoka HSK 1. Kwa njia ya wazi na ya kuvutia, kinatoa utangulizi wa msingi wa lugha ya Kichina, na kuwa hatua bora kwa wasemaji wa Kiswahili kwenye safari yao ya kujifunza lugha. Gundua uzuri wa Kichina kupitia mifano ya vitendo na masomo rahisi kuelewa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza