Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kijana Wa Tandale Na Marafiki Watatu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KIJANA WA TANDALE Na Marafiki Watatu

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 04, 2021
Product Views:
1,418
In category:
Sample

Uchambuzi na Uhakiki wa Kazi zao

Kitabu Hiki Kimeandikwa Kwa Makundi Yafuatayo;

  • Wafuasi wa Muziki; ili waweze kubaini maudhui ya kazi za Wasanii
  • Vituo vya Redio; kwani kitakuwa kama muongozo kwa waandishi wa habari, hasa katika kuwafanyia usaili (Interview) Wasanii, na wao kutumia maarifa hayo yaliyomo katika kusambaza ujumbe wa kazi za kisanaa
  • Wasimamizi/Mamlaka zinazosimamia kazi za sanaa; Waweze kuuona mchango wa Wasanii pamoja na Changamoto zao (hususani Vijana)
  • Vijana wenye Ndoto za kuwa Wasanii; Waweze kuona kazi za watangulizi wao ili nao wafanye vizuri zaidi kupitia mapengo yatakayojitokeza
  • Wafuasi wa Lugha ya Kiswahili; kwani kuna ufafanuzi wa misamiati mipya inayozalishwa na wasanii, ikiwemo misimu na rejesta

Jipatie Kitabu Hiki Siku hii ya Leo uanze kuipata Ladha ya Muziki uliyokuwa hauipati kwa sababu ya Kutokujua yaliyomo ndani ya Muziki wetu pendwa (bongo fleva)


KUHUSU MWANDISHI

LINUS RWEBANGILA BABILIGI (Anko Sir) ni Mshairi wa ushairi wa kimapokeo, na mwandishi mchambuzi wa mashairi ya muziki wa kizazi kipya (bongo flavour)

More Products On Discount
5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold