Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kisukari Kinapoingilia Maisha Yako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Kisukari Kinapoingilia Maisha Yako

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 06, 2026
Product Views:
16
In category:
Sample

Chukua udhibiti wa kisukari, uishi kwa furaha na afya kila siku!

"Nina umri wa miaka 83 sasa, na niligundulika kuwa na kisukari nikiwa na umri wa miaka 12 mnamo mwaka 1946. Miaka miwili iliyopita niliadhimisha miaka 70 ya kuishi na kisukari. Ilikuwa ya kufurahisha sana. Zaidi nilifurahi sana mwaka jana ilipofika siku yangu ya kuzaliwa."

— Dkt. Richard Bernstein, Juni 2018.


Sio mwisho wa maisha, sio mwisho wa furaha, sio mwisho wa amani na tena sio mwisho wa afya mwilini mwako; ni mwanzo mpya wa maisha ukiwa na kisukari. Kitabu hiki ni nyenzo itakayo kuimarisha;

Fahamu kisukari kwa kina na jua visababishi vyake.

Ratibu kiwango cha sukari mwilini na uepuke madhara makubwa.

Jifunze jinsi ya kuishi kwa furaha, afya na amani ukiwa na kisukari.

Msaada kwa familia na wapendwa walio na kisukari.


Maarifa sahihi, hatua rahisi, matokeo makubwa. CHUKUA UONGOZI WA AFYA YAKO LEO!

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
150,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold