Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Karata Ya Mauaji - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KARATA YA MAUAJI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 12, 2025
Product Views:
18
In category:
Sample

KARATA YA MAUAJIrnrnKwenye ulimwengu wa kibebari dunia haina ukoloni tena wa watu weupe kutawala sehemu mbali mbali za dunia watu weusi ndio ambao wanawatawala wenzao lakini kwenye utawala wa hawa watu sio kila mtu anapendezwa na mambo ambayo wanayafanya.rnrnTanzania ilikuwa ni moja ya mhanga wa jambo hili. Ilikuwepo serikali ambayo ilikuwa inatawala kwa mabavu na kufanya yale ambayo wahusika waliona kwamba yanawafaa kwa maslahi yao binafsi. Watu wengi hawakuwa wanajali huenda kwa sababu hawakuwa na taarifa juu ya nini kinaendelea chini lakini kwenye kundi kubwa la watu wasiojali huwa kuna watu kadhaa wenye kujali kuhusu taifa lao.rnrnTanzania ilikuwa inaendeshwa na watu kadhaa ambao walitengeneza mfumo wa kutawala milele ndipo wakaibuka watu wa siri ambao walihitaji kubadilisha mfumo huo wa kidhalimu kwa kuhitaji kumuweka madarakani kiongozi wa upinzani kwa sababu waliona ndiye ana mwelekeo sahihi na mfumo wa watawala wa chama tawala unatakiwa kuondolewa madarakani kwa nguvu.rnrnKwahiyo watu hao wakaanzisha umoja wa siri kuweza kufuta jumla mfumo wa serikali ila wamuweke kiongozi wa chama cha upinzani madarakani kwa mara ya kwanza.rnrnJambo hili linasababisha machafuko makubwa na mauaji ya watu wengi ndani ya nchi akiwemo mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa na mkuu wa majeshi mwisho wa siku CIA wanahusika Moja kwa Moja ndipo jambo hili linachukua sura mpya Tanzania inaingia gizani na kwenye umwagaji wa damu.rnrnKARATA YA MAUAJI- Sio simulizi tu bali unaenda kuyaishi maisha ya KISIASA kwenye ulimwengu wa kufikirika, unaenda kuwa moja ya sehemu ya fikra za ULIMWENGU wa kutisha wa kisiasa hivyo isome simulizi hii ili ujue nini hatima ya maisha yako ya kisiasa kwenye dunia ya kufikirika.rnrnKARIBU UWE SEHEMU YA HISTORIA YA MAANDISHI YANGU.rnrnrnNB.rnNI SIMULIZI YA KUFIKIRIKA TU, HAINA UHALISIA WA MAISHA YA NCHI YOYOTE, MTU YEYOTE WALA TAASISI YOYOTE HIVYO MAJINA YA MAHALI NA WATU YAMEWEKWA ILI KUTIA UHALISIA KWA WASOMAJI WAKE KWA LENGO LA KUTOA BURUDANI TU HIVYO ISITAFSIRIWE VIBAYA AU TOFAUTI.

 KARATA YA MAUAJI


Kwenye ulimwengu wa kibebari dunia haina ukoloni tena wa watu weupe kutawala sehemu mbali mbali za dunia watu weusi ndio ambao wanawatawala wenzao lakini kwenye utawala wa hawa watu sio kila mtu anapendezwa na mambo ambayo wanayafanya.


Tanzania ilikuwa ni moja ya mhanga wa jambo hili. Ilikuwepo serikali ambayo ilikuwa inatawala kwa mabavu na kufanya yale ambayo wahusika waliona kwamba yanawafaa kwa maslahi yao binafsi. Watu wengi hawakuwa wanajali huenda kwa sababu hawakuwa na taarifa juu ya nini kinaendelea chini lakini kwenye kundi kubwa la watu wasiojali huwa kuna watu kadhaa wenye kujali kuhusu taifa lao.


Tanzania ilikuwa inaendeshwa na watu kadhaa ambao walitengeneza mfumo wa kutawala milele ndipo wakaibuka watu wa siri ambao walihitaji kubadilisha mfumo huo wa kidhalimu kwa kuhitaji kumuweka madarakani kiongozi wa upinzani kwa sababu waliona ndiye ana mwelekeo sahihi na mfumo wa watawala wa chama tawala unatakiwa kuondolewa madarakani kwa nguvu.


Kwahiyo watu hao wakaanzisha umoja wa siri kuweza kufuta jumla mfumo wa serikali ila wamuweke kiongozi wa chama cha upinzani madarakani kwa mara ya kwanza.


Jambo hili linasababisha machafuko makubwa na mauaji ya watu wengi ndani ya nchi akiwemo mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa na mkuu wa majeshi mwisho wa siku CIA wanahusika Moja kwa Moja ndipo jambo hili linachukua sura mpya Tanzania inaingia gizani na kwenye umwagaji wa damu.


KARATA YA MAUAJI- Sio simulizi tu bali unaenda kuyaishi maisha ya KISIASA kwenye ulimwengu wa kufikirika, unaenda kuwa moja ya sehemu ya fikra za ULIMWENGU wa kutisha wa kisiasa hivyo isome simulizi hii ili ujue nini hatima ya maisha yako ya kisiasa kwenye dunia ya kufikirika.


KARIBU UWE SEHEMU YA HISTORIA YA MAANDISHI YANGU.



NB.

NI SIMULIZI YA KUFIKIRIKA TU, HAINA UHALISIA WA MAISHA YA NCHI YOYOTE, MTU YEYOTE WALA TAASISI YOYOTE HIVYO MAJINA YA MAHALI NA WATU YAMEWEKWA ILI KUTIA UHALISIA KWA WASOMAJI WAKE KWA LENGO LA KUTOA BURUDANI TU HIVYO ISITAFSIRIWE VIBAYA AU TOFAUTI.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
200 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold