KUSUDI LAKO HATMA YAKO
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 11, 2022
Product Views:
2,499
Sample
Palipo na Kusudi Lako ndipo furaha yako ilipo
Ni ndoto ya kila mwanadamu kuishi maisha yenye furaha. Changamoto kwa walio wengi ni namna gani unaweza kuipata furaha hiyo. Wapo walioamua kufanya biashara, kuimba mziki, kuandika vitabu na vitu vingine wakiamini ndiyo sehemu yao kupata furaha ambayo ni zao la kuliishi Kusudi Lako. Wenda wewe ni mmoja wapo unajiuliza swali hilio; kitabu hiki kinalenga kukupa maarifa mwongozo na mwanga sahihi juu ya kuishi maisha yenye maana. Karibu Sana ujifunze zaidi.