GEN Z: Maarifa, Madili Na Mustabakali Wa Taifa
Kitabu hiki kinazungumzia kwakina kizazi Cha GEN Z , Changamoto zake,Fursa zilizopo katika Zama za teknolojia, na mwongozo wa vitendo wa kujenga Maisha yenye maadili, Maarifa na mchango chanya kwa maendeleo ya Taifa.
GEN Z: Maarifa, Maadili na Mustakabali wa Taifa ni kitabu kinacholenga kuwa mwanga wa fikra kwa vijana wa kizazi cha sasa. Kinachambua masuala ya elimu, teknolojia, afya ya akili, uongozi, maadili na kujiajiri kwa mtazamo wa uhalisia wa maisha ya leo.
Kitabu hiki hakilaumu, bali kinaelekeza na kuhamasisha vijana kuchukua hatua za vitendo kujiboresha, kujitegemea na kuchangia maendeleo ya jamii na taifa.
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza