Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Namna Ya Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kujenga Uhusiano Na Mungu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

NAMNA YA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUJENGA UHUSIANO NA MUNGU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 13, 2026
Product Views:
23
In category:
Sample

Kitabu hiki kinaonyesha jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kwa hekima ili kukuza maisha ya kiroho na kujenga uhusiano wa karibu na Mungu katika ulimwengu wa kidigitali.

Katika zama hizi za kidigitali,mitandao ya kijamii imekuwa sehemu kubwa ya maisha yetu ya kila siku.Watu wengi hutumia muda mwingi mtandaoni lakini mara chache hutumia muda huo kwa ajili ya kukuza maisha yao ya kiroho.

Kitabu hiki kinakupa mwongozo wa vitendo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kwa njia inayokuimarisha kiimani badala ya kukuondoa katika kusudi katika kusudi lako la kiroho.

Ndani ya kitabu hiki utajifunza:

1.Jinsi ya kuchagua content inayojenga imani

2.Namna ya kuepuka mitego ya mabishano na ushawishi mbaya

3.Jinsi ya kushiriki imani yako mtandaoni kwa hekima

4.Njia za kutumia mitandao kama chombo cha kujifunza na kukua kiroho

5.Jinsi ya kuweka nidhamu ya kidigitali inayompa Mungu nafasi ya kwanza ikiwa unataka kuishi maisha yenye mizani kati ya teknolojia na imani,kitabu hiki ni mwongozo sahihi kwa ajili yako.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
150,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold