Malkia Esta
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 04, 2020
Product Views:
5,621
Sample
Mtoto wako ni matokeo ya malezi yako.....
Namshukuru Mungu kwa kunipa Neema ya kuandaa vitabu kwa ajili ya watoto, kitabu hichi kimebeba simulizi ya malkia Esta kwa lugha nyepesi sana, ila pia kina maonyo, hekima na maneno ambazo mzazi anaweza kumuambia mtoto wakati anamsomea simulizi hii. Kuna uziada wa maswali utakaompa mtoto kufikiri kwa uziada sana. Ni simulizi ambazo kama utapata nafasi ya kujifunza na mtoto basi uwe na uhakika hatasahau maana kuna vionjo vya kumsaidia mtoto kukariri kwa wepesi maarifa haya. Na yakijaa ndani yake basi Hekima zitazaliwa humo.