Mapenzi Ya Ujana
Price:
6,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 31, 2022
Product Views:
4,056
Sample
Mapenzi ya ujana ni changamoto kwa vijana wengi.
Wakati Nasra na mama yake wakibishana kuhusianarnna ajali iliyompata mwanaisha,ghafla simu ikaita akaipokea.Simu ya upande warnpili ilisikika Nasra akiwa anaongea na Kasimu hakika ilikuwa mtihani mkubwa kwarnNasra,maneno aliyoambiwa kutoka upande wa pili wa simu hiyo ulimuuzunisha narnkumuwacha mdomo wazi.Hakuamini kile ambacho alikisikia ndani ya masikiornyake,alijiona mkosaji mkubwa mbele ya mungu kumuacha mwanaisha akaondoka.