
MASANTURA: Mwanzo Wa Uharifu
Katika historia ya fasihi simulizi na maandishi ya Kiafrika, simulizi za asili zimekuwa hazina ya hekima, maadili na maarifa yanayofinyangwa kwa lugha yenye mvuto na uhalisia unaogusa nafsi. Kitabu hiki, Masantura: Mwanzo wa Uharifu – ni zao la ari na wito wa kutaka kurejesha hadhi ya simulizi za Kiafrika kama njia ya kujifunza, kujitafakari na kubadili tabia katika jamii ya leo.\r\nKupitia mhusika mkuu, Masantura, msomaji ataambatana naye katika safari ya maisha yenye mafunzo ya kina kuhusu chimbuko la maovu, maamuzi yenye madhara, na namna jamii inavyoweza kubadilika kwa kupitia simulizi zenye mizizi ya asili. Hadithi hii inaonyesha si tu uhalisia wa maisha ya jamii za Kitanzania, bali pia changamoto za kimaadili zinazowakumba vijana katika karne hii ya ishirini na moja.\r\nHadithi hii ni sehemu ya mwendelezo wa programu ya BADILI TABIA MAISHANI MWAKO: HADITHI ASILIA ZA KIAFRIKA, yenye lengo la kuwafikia vijana na jamii kwa ujumla, kupitia simulizi zenye mguso wa maisha halisi na ujumbe wa kubadilisha mtazamo.
Katika historia ya fasihi simulizi na maandishi ya Kiafrika, simulizi za asili zimekuwa hazina ya hekima, maadili na maarifa yanayofinyangwa kwa lugha yenye mvuto na uhalisia unaogusa nafsi. Kitabu hiki, Masantura: Mwanzo wa Sarari ya Uhalifu – Nguvu ya Hadithi Asilia za Kiafrika, ni zao la ari na wito wa kutaka kurejesha hadhi ya simulizi za Kiafrika kama njia ya kujifunza, kujitafakari na kubadili tabia katika jamii ya leo.
Kupitia mhusika mkuu, Masantura, msomaji ataambatana naye katika safari ya maisha yenye mafunzo ya kina kuhusu chimbuko la maovu, maamuzi yenye madhara, na namna jamii inavyoweza kubadilika kwa kupitia simulizi zenye mizizi ya asili. Hadithi hii inaonyesha si tu uhalisia wa maisha ya jamii za Kitanzania, bali pia changamoto za kimaadili zinazowakumba vijana katika karne hii ya ishirini na moja.
Hadithi hii ni sehemu ya mwendelezo wa programu ya BADILI TABIA MAISHANI MWAKO: HADITHI ASILIA ZA KIAFRIKA, yenye lengo la kuwafikia vijana na jamii kwa ujumla, kupitia simulizi zenye mguso wa maisha halisi na ujumbe wa kubadilisha mtazamo.
SARYA, Magoti
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Godfrey Ngaleya
Sold by: Lackson Tungaraza