Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mtindo Bora Wa Maisha Kiafya - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Mtindo Bora Wa Maisha Kiafya

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 18, 2026
Product Views:
11
In category:
Sample

Ni ukweli usiopingika kwamba mtindo wetu wa maisha wa sasa unaweka miili yetu katika hatari kubwa ya kupata magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari, saratani na magonjwa ya moyo. Mojawapo ya changamoto kubwa ni kwamba magonjwa haya mara nyingi hukua na kuendelea kimyakimya ndani ya mwili, yakionesha dalili chache au kutokuwepo kabisa katika hatua za mwanzo, yanapofikia kugundulika katika hatua ya juu, matibabu huwa magumu zaidi na uponaji kamili unaweza kuwa mgumu kabisa kutokea. \r\n\r\nKatika muktadha huu, kitabu hiki kinatoa maarifa na ufahamu ili kukusaidia kuelewa ukubwa na uzito wa magonjwa yasiyoambukiza, namna ambavyo watu binafsi na jamii wanavyojiweka katika hatari, na hatua stahiki zinazoweza kuchukuliwa kwa ajili ya kinga na ulinzi hasa ikizingatiwa kuwa sababu nyingi kuu za hatari zinaweza kuzuilika.

It is an undeniable fact that our current lifestyle puts our bodies at high risk of developing non-communicable diseases such as diabetes, cancer and heart disease. One of the biggest challenges is that these diseases often develop and progress silently within the body, showing few or no symptoms in the early stages. By the time they are detected at an advanced stage, treatment becomes more difficult and a full recovery can be very difficult to achieve. 

In this context, this book provides knowledge and insight to help you understand the scale and severity of noncommunicable diseases, how individuals and communities put themselves at risk, and the appropriate steps that can be taken for prevention and protection, especially considering that many of the main risk factors are preventable.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
150,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold