MWONGOZO RAHISI WA KUANZA UWEKEZAJI KWENYE SOKO LA HISA
Mwongozo rahisi wa kuanza uwekezaji kwenye soko la hisa la Tanzania (DSE). Jifunze kufanya maamuzi sahihi, kuepuka makosa, na kukuza fedha zako hatua kwa hatua.
Watu wengi wanafanya kazi kila siku… lakini pesa zao hazikui.
Tatizo si kipato.
Tatizo ni ukosefu wa elimu ya fedha.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa Kiswahili rahisi ili kukusaidia:
Kuelewa uwekezaji bila maneno magumu
Kuanza kuwekeza hata kama una mtaji mdogo
Kuepuka makosa ambayo yanaangamiza wawekezaji wengi
Kufanya maamuzi sahihi badala ya kufuata hisia au “taarifa za mitandaoni”
Ndani ya kitabu hiki utajifunza:
Uwekezaji ni nini na kwa nini ni muhimu
Soko la hisa la Tanzania (DSE) linavyofanya kazi
Njia mbili kuu za kupata faida (Capital Gain & Dividend)
Makosa makubwa ya wawekezaji wanaoanza
Jinsi ya kusoma taarifa za kifedha (Income Statement, Cash Flow, Balance Sheet)
Tofauti kati ya Bei (Price) na Thamani (Value) — siri ya wawekezaji wakubwa
Hatua za kuanza uwekezaji moja kwa moja kupitia simu yako
Kitabu hiki si cha nadharia tu.
Ni mwongozo wa vitendo.
Ukimaliza kusoma, utakuwa na:
Uelewa wa msingi wa uwekezaji
Mwelekeo sahihi wa kuanza
Confidence ya kufanya maamuzi yako mwenyewe
Jiunge na Community ya Investors Forum
https://chat.whatsapp.com/GoCyg0HXbAY6u5scRy9oGk
The Top 1% Investors community
https://whatsapp.com/channel/0029VbBsynW8V0ttq33sLq2j
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza