NIACHENI NIOZE: Simulizi
Price:
2,640 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 31, 2022
Product Views:
1,011
Sample
NIACHENI NIOZE ni simulizi inayomuelezea kijana aliyeamua kuingia kwenye mkondo wa UTAJIRI WA MASHARTI akiamini kwamba maisha yatakuwa bora ila mwishowe alijikuta katikati ya mateso makali pamoja na utajiri mkubwa aliokuwa nao. Simulizi hii ni utunzi uliohusisha visa vya kweli baada ya kutafitiwa kwa miaka minne mkoani Njombe.