Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Safari Ya Kumtafuta Na Kumpata Mwenza Wa Maisha Katika Mapenzi Ya Mungu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

SAFARI YA KUMTAFUTA NA KUMPATA MWENZA WA MAISHA KATIKA MAPENZI YA MUNGU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 30, 2025
Product Views:
24
In category:
Sample

Kitabu hiki cha pekee kitakuongeza ufahamu na maarifa kuhusu suala zima la kumtamfuta na kumpata mwenza wa maisha katika mapenzi ya Mungu.

Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo:
  • Nafasi ya Mungu katika kukupa mwenza wa maisha
  • Ufahamu wa mapenzi ya Mungu kuhusu mwenza wako wa maisha
  • Mapenzi ya Mungu na vigezo binafsi kuhusu mwenza wa maisha
  • Athari za kutumia na kutegemea uzuri wa nje au uwezo wa kifedha kama vigezo pekee vya kumchagua mwenza wa maisha
  • Njia za Kibiblia za kukusaidia kumjua na kumpata mwenza wa maisha
  • Kile ambacho Biblia imesema kuhusu  kuoa kuolewa mara ya pili ikiwa mtaamua kuachana
Karibu ununue kitabu hiki kwa kubonyeza sehemu ya ‘Buy now’ ili ujipatie ufahamu na maarifa husika. Pia kwa kufanya hivyo utakuwa umechangia kazi ya uandishi wa vitabu vingine ambavyo Patrick Sanga anaendelea kuviandika. 


Licha ya uandishi wa vitabu, Patrick Sanga ni mwandishi wa masomo ya neno la Mungu na mengine mahususi kuhusu Roho Mtakatifu,vijana, wanawake, ndoa na siku za mwisho nk. Ili kusoma masomo hayo, tafadhali tembelea blogu za www.sanga.wordpress.com na www.sanga.co.tz  



More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
150,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold