Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Siri Iliyo Jificha Kwenye Mafanikio - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Siri Iliyo Jificha Kwenye Mafanikio

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 17, 2022
Product Views:
1,006
In category:
Sample

Siri Iliyo Jificha Kwenye Mafanikio

Kushika kitabu hiki mikononi mwako, yaweza kuwa ndiyo bahati kubwa maishani mwako. Yapo mengi (mazuri) utakayojifunza katika kitabu hiki. Watu wengi wanafanya kazi kwa bidii wakitafuta mafanikio. Wanakesha wakipigania ndoto zao, na kufanya kila linalohitajika. Wapo tayari kwa lolote, lakini wanashangaa maisha yao kuendelea kuwa magumu. Wanabaki wakijiuliza maswali mengi kama vile, “Hivi hawa wanaofanikiwa wanafanyaje?”, “Kama bidii ninayo, nakosea wapi?” Na wengine huenda mbali Zaidi na kuanza kufikiria kwamba, “Mtu hawezi kufanikiwa bila kuwa mchawi, mwenye roho mbaya, au kubarikiwa na Mungu.” Ili kujua siri iliyojificha kwenye mafanikio


Endelea kusoma kitabu chako……..!

More Products On Discount
3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

7,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda

5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

5,000 Tsh. 2,500 Tsh.

Sold by: Joyce Mwakajonga

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold