SIRI ZA MAFANIKIO YA BIASHARA MTANDAONI
SIRI ZA MAFANIKIO YA BIASHARA MTANDAONI ni kitabu kinachofundisha Jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kufanya biashara Kwa mafanikio.Kinaelezea hatua kwa hatua kuanzia jinsi ya kupata wazo zuri la biashara hadi jinsi ya kuikuza kwa kutumia mbinu za ki sasa.
Kitabu cha SIRI ZA MAFANIKIO YA BIASHARA MTANDAONI kina kupatia Wazo, mbinu na mikakati ya kutumia mitandao ya kijamii kufanya biashara.
Pia kinakupa Kanuni Muhimu za kuandaa matangazo yanayovutia wateja Mtandaoni,aina za biashara zinazofanya vizuri sana kwenye mitandao ya kijamii hapa Tanzania,na makosa makubwa yanayofanywa na wafanya biashara wengi wanaofanya biashara Mtandaoni na jinsi ya kuyaepuka.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza