Best Seller
Ubunifu Wenye Tija - Mwongozo Wa Kutengeneza Mkaa Wa Taka
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 20, 2020
Product Views:
3,370
Sample
Ubunifu wenye tija kwa taifa la Tanzania ni kitabu pekee cha ubunifu nchini. Kitabu hiki kinatoa elimu ya kutengeneza mkaa kutokana na taka.
Ubunifu huu wa nishati mbadala wa utengenezaji wa mkaa wa taka ni matokeo makubwa ya kuhitaji kuisadia jamii kutoka majanga ya kimazingira. Mkaa wa taka ni nishati mbadala ambayo ina faida nyingi kiuchumi na kimazingira.