Unajijua? JIJUE
Price:
6,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 25, 2024
Product Views:
92
Sample
Katikati ya changamoto za maisha na kuongezeka kwa wimbi la matatizo ya afya ya akili, Mwandishi Abdul Lukindo anamaizi mwarubaini na kututegulia kitendawili. Unajijua? JIJUE.
Kitabu hiki ni uamsho wa fahamu na fikra zetu kama binadamu katika kuyatafakari mambo na kuyaelewa.
Pengine kujivua gamba na ngozi ya ubinadamu wa kawaida tuliouzoea ama kukuzwa nao na kuzama ndani ya nafsi zetu kujitafuta zaidi ili kujijua na kuyakabili maisha ipasavyo.
“Kujijua kwetu ndiko kunakoyapa maisha yetu thamani”.