
UZURI WA GEREZA Hazina Iliyosahaulika
UZURI WA GEREZA Hazina Iliyosahaulika\r\nHii ni nakala ya simulizi ya kitabu bila picha jongefu (audio)
Hapa ulimwenguni kuna vitabu vichache sana ambavyo mkono wa mwandishi huingia, huchokonoa na kudondosha tone la NURU katika kilindi cha moyo wako wewe msomaji na kukumurikia mwanga wenye kuleta mabadiliko chanya katika maisha yako binafsi ya kila siku,
Kitiabu hiki ni utekelezaji wa makusudi ya Mungu katika kuanzisha, kustawisha na kudhihirisha UAMSHO wenye kuleta mapinduzi makubwa ya kiroho, kijamii, kiutamaduni, kiuchumi na kiujasiriamali kwa kutumia rasimali watu nchini Tanzania, Afrika Mashariki (EAC) na Nchi za ukanda wa maendeleo kusini mwa bara la Afrika (SADC), Hivyo basi kitabu hiki ni miongoni mwa vitabu vichache vyenye sifa hiyo adhimu.