WHATSAPP MARKETING COURSE
Ni mwongozo wa vitendo unaokufundisha jinsi ya kugeuza WhatsApp yako kuwa mashine ya mauzo ya kila siku...
Wengi wanatumia WhatsApp vibaya kibiashara...
Wanapost bidhaa bila mpangilio, wanatuma meseji zinakua kero, wanatumia ads bila mkakati. Matokeo yake wanachoka tu, wanakosa wateja wa uhakika na kukata tamaa...
Ebook hii imeandaliwa kwa lengo la kukusaidia wewe mfanyabiashara, mjasiriamali au mtu yeyote unayependa kuuza bidhaa au huduma zako kupitia WhatsApp kwa njia sahihi na yenye matokeo...
WHATSAPP SIO SEHEMU YA STORY NA SALAMU TU. WHATSAPP NI DUKA, WHATSAPP NI OFISI, WHATSAPP NI SOKO ZAIDI YA KARIAKOO AU MAKOROBOI...INATEGEMEA UNAITUMIAJE!!
Tofauti ya WhatsApp na mitandao mingine ni kwamba hapa unawasiliana moja kwa moja na mteja. Hakuna algorithm, hakuna kupotea kwa post. Ujumbe wako unamfikia mtu moja kwa moja....
Kitabu kimeeleza namna unavyomuuzia mteja bidhaa au huduma na akanunua kwa kupenda mwenyewe na sio kulazimishwa. Katika kufanya biashara karne hizi za mitandao ya kijamii, saikolojia ya mteja ni muhimu sana kuliko hata kabla ya manufaa ya hio bidhaa unayomuuzia kwake...
Ungana nami katika kitabu hiki nimekuwekea maarifa hayo kwa lugha rahisi na ya kueleweka...
Zaidi ya yote, nimekuonesha unavyoweza kutekeleza hatua kwa hatua katika maisha yako...
KARIBU!!