• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Athari Za Migogoro Ya Ndoa - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Athari Za Migogoro Ya Ndoa

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
May 26, 2021
In category:
Sample

Katika maisha usikate tamaa, na usikimbie wito. Mwenyezi Mungu kamuita kila mtu kwa kusudi lake. Na hili Mungu akutumie Ni lazima uandaliwe vzr. Kwa njia zake. Kipimo Cha mapito yako ndio kipimo Cha neema uliyobeba. Mfano unaweza kuitwa kupitia magonjwa, kukataliwa,madeni, Vita isiyokoma, njaa, na kwa hali yoyote ambayo Mungu ameichagua juu yako.

Kwa kupitia kitabu HIKI utaweza kujua wito wako. 

  • Utaweza kupata majibu ya changamoto yoyote
  • Hutoweza kukata tamaa
  • Utaweza kulinda uchumi wako
  • Utaweza kulinda afya yako
  • Utaweza kusimia ndoa na familia kwa ujumla
  • Utaweza kujua majira na nyakati za kumtumia Mungu
  • Utajifunza kukubali kushuka na kujua Ni daraja la kukupandishwa tena.
Other products from this category