• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mwongozo Wa Biashara - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

MWONGOZO WA BIASHARA

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
May 13, 2021
In category:
Sample

Kitabu hiki cha “Mwongozo wa Biashara” kimekuja kuleta suluhu ya hofu waliyonayo watu makazini na mtaani juu ya maisha yao ya kesho kwa kuwa kinatoa mwongozo kwa kila mtu kumiliki biashara yake haijalishi mtu huyo ana pesa au hana kwa sasa. Kitabu hiki kimeeleza hatua kwa hatua jinsi mtu anavyoweza kuanzisha, kusimamia na kuendesha biashara yake ili biashara yake iwe na tija.

Ndani ya kitabu hiki utapata kujifunza na kuhamasishwa na watu

ambao pamoja na kupitia changamoto mbalimbali waliweza

kuanzisha biashara zao.

Kitabu hiki kimebainisha baadhi ya mawazo ya biashara

yanayoweza kukusaidia kama utayafanyia kazi.

Other products from this category