• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nenda1 - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

NENDA

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jan 22, 2021
In category:
Sample

Maishani mwangu niliamini; unyenyekevu na heshima vinaweza kuwa dira kwa mwanaume nimpendaye. Niliamini itakuwa kinga ya kudumisha mahusiano, na kufikia hatua nzuri, ile ibarikiwayo kwa utunuku wa cheti. Na uhalalisho toka kwa Mwenyezi Mungu. Hakika! Pasi na chembe ya shaka. Au imani, nilidiriki kumkabidhi hisia zangu kwa asilimia zote. Kiasi cha kutokuwa msikivu kwa lolote baya nisikialo juu yake. Sikuwa na budi kujivika utumwa wa upendo. Naweza sema hivyo, kwa ajili ya kutunza yangu siha. Na kuhimarisha uhusiano, huku nikisahau, u-hawara, haupaswi kuwa na majivuno. Lakini mimi nilijivunia. Kitendo kilichopelekea kujihalalishia mateso ambayo ni ngumu pasi na kuyaachia historia yenye kumbukumbu. Nimeamua kushirikiana nawe katika kumbukizi hizi. Ili usipitie makosa ambayo nimepitia. SONGA NAYO UNONOKE...

Yumkini ni muumini mkubwa wa mateso yasababishwayo na hisia za kimapenzi na umeshindwa kuziamulia.

Daima huachi kujiuliza, utaanzaje kuchukua hatua?

<!--StartFragment--> <!--EndFragment-->

Nakusihi, soma sasa kitabu cha riwaya pendwa kiitwacho NENDA, kitakupa haamasa ya kuchukua uamuzi uliojifutika kibindoni.

Other products from this category