• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Tujifunze Kwa Mashujaa Wa Biblia - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

TUJIFUNZE KWA MASHUJAA WA BIBLIA

Ratings

Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Mar 09, 2021
In category:
Sample

MUNGU ANATUTAKA TUWE MASHUJAA, HILO NDILO KUSUDI LAKE KWETU

SILAHA MOJA KUBWA YA KUTUSAIDIA TUFANYIKE WASHINDI KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU NI PALE TUTAKAPOCHUKUA UAMUZI WA KUJIFUNZA KWA MASHUJAA WALIOTUTANGULIA. WAPO MASHUJAA MAELFU KWA MAELFU AMBAO TUNAWEZA KUJIFUNZA KWAO MAMBO MENGI YA KUTUTIA MOYO NA YA KUINUA MAISHA YETU. KILA UNAPOPITIA CHANGAMOTO FULANI KATIKA MAISHA YAKO FAHAMU KWAMBA YUPO SHUJAA ALIYEPITIA CHANGAMOTO KAMA YA KWAKO AU CHANGAMOTO INAYOFANANA NA YA KWAKO NA AKASHINDA. KAMA UKIITIZAMA MIFANO MIZURI YA MASHUJAA WALIOSHINDA, JAMBO HILO LITAFANYIKA KAMA NGAZI YA KUKUINUA TENA HATA KAMA ULIKUWA UMECHOKA. KATIKA KITABU HIKI KINACHOELEZEA  MASHUJAA, UTASOMA SHUHUDA ZA KUVUTIA ZA MASHUJAA HAO WA BIBLIA AMBAZO AMBAZO ZITAKUINUA SANA

Other products from this category