A Guide To Personal Finance & Growth
Jinsi Ya Kuwa na Usimamizi wa Fedha Kwa Mafanikio na Wenye Ustawi Chanya (A Guide to Personal Finance & Growth)
Je, uko tayari kuiweza na kuitawala fedha yako na kuiandaa kesho yako!?
Katika video session hii utaenda kujifunza hatua kwa hatua na kusaidiawa mwongozo wa kuweza kuitawala fedha yako (personal finance) huku ukijenga mindset ya ukuaji, mabadiliko na jinsi ya kutengeneza bajeti yenye mafanikio muda wote.
With this video session, utaelekezwa jinsi ya kutawala kipato chako, kuweka mikakati ya kuondokana na madeni, uhuru wa kifedha, kutengeneza mfuko wa dharula na sheria zake huku ukijenga confidence katika ku-save na kuwekeza katika kesho yako kupitia vyanzo vyako vyote vya mapato.
Kupitia video session hii utaenda kutengeneza tabia na nidhamu. Haijarishi kama ndio unaanza au unaendelea na safari hii ya kuweza kuitawala fedha yako, session hii itakupatia a very clear and productive guide ili ukaweza kutimiza malengo yako kifedha.
Ukuaji kiuchumi sio Bahati, bali ni uwezo wa kujenga na kuulinda mfumo imara wa kuipangia majukumu fedha yako muda wote.
Ready to start! Take The Lead, Right Now and Change Your Financial Growth!
Kwa mahitaji ya vitabu (eBooks) vitakazobadilisha Maisha yako ili ukawe na Maendeleo Binafsi check out here https://selar.com/m/stan-luwanda1
Contact us for one on one session at https://wa.link/6husvl
***Your Life, Your Investiment. It All Starts With You***
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza