Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Muda Na Wazazi1 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Muda Na Wazazi

0
0
 • 5
 • 4
 • 3
 • 2
 • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 23, 2022
Product Views:
1,481
In category:
Sample

Tambua thamani kuu iliyo ndani ya wazazi wako

Wazazi ni dhahabu. Wazazi ni thamani kuu kutoka kwa Mungu. Hawa ndio walimu na madaktari wa kwanza wa afya na misingi ya maisha yako. Watu wengi wamekuwa wakianza kuwasahau na kuwapuuzia hasa pale wanapokuwa na kazi, vyeo, biashara kubwa, kiwango kikubwa cha elimu au hata umaarufu. Wameanza kujisahau na kupoteza mafundisho ya msingi yaliyowafikisha pale walipo. Wengine wamewapa majina kama “mizigo, nuksi, au kupitwa na wakati”.

Hali hii imekuwa ikileta mitafaruku na kupoteza amani na furaha baina ya watu hawa wawili yaani mzazi na kijana wake.

 • Je, unataka kufahamu jinsi ya kutambua nafasi ya kila mmoja katika familia?
 • Je, unamfahamu mama au baba ni nani?
 • Je, nafasi yako kama kijana unaitambua vizuri?

Muda na Wazazi ni kitabu mahususi kabisa kwaajili yako mzazi au kijana wa kileo unayepambana na majukumu yako kwa njia mbalimbali. Kitabu hiki kipo kukupa mbinu, mafunzo na jinsi ya kutoka hatua moja kwenda nyingine bila kumsahau mzazi wako. Usikose nakala yako.

# Wazazi      

Be the change of yourself......

 • Name: The change
 • Address: P.O. BOX 1469
 • Phone: +255786334448
 • Email: stanlaus@outlook.com
More Products On Discount
3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

5,000 Tsh. 2,000 Tsh.

Sold by: ELIAS MBUJILO JOSEPH

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold