Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Akiba Na Uwekezaji - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

AKIBA NA UWEKEZAJI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 09, 2023
Product Views:
4,387
In category:
Sample

Mwongozo Maalumu kuhusu Akiba na Uwekezaji utakaokufikisha kwenye uhuru wa kifedha.

Akiba na Uwekezaji.

Bilionea na mwekezaji nguli duniani bwana Warren Buffet  aliwahi kunukuliwa akisema kwamba \"Usiweke akiba kile kilichobaki baada ya kutumia, lakini tumia kile kilichobaki baada ya kuweka akiba.\"

Kwa maneno hayo ya bilionea huyu ni kana kwamba alikuwa akituambia kuwa ni marufuku kutumia fedha kabla ya kuweka akiba, yaani unapopata tu fedha, jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kuweka akiba na baada ya hapo ndio ufanye mambo mengine kwa fedha iliyobaki.

Bilionea huyu akaendelea kusema kwamba \"Kama hutatafuta njia za kupata fedha hata ukiwa umelala, basi utaifanyia kazi fedha mpaka utakapokufa.\"

Kwa maneno hayo makali, bilionea huyu alitutaka tuelewe kuwa, kama tunataka tusiwe watumwa kwa fedha basi tufanye uwekezaji, hii ni kwa sababu kwenye uwekezaji fedha fedha zinatufanyia sisi kazi.

Kuweka akiba  na hata kufanya uwekezaji wala sio jambo rahisi, hivyo basi unatakiwa uwe na maarifa sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. 

Kwenye kitabu cha AKIBA NA UWEKEZAJI kilichoandikwa na Mwandishi sio Nguli ila mwenye nidhamu kubwa Ndugu Patson chaula Utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kuweka akiba na jinsi ya kufanya uwekezaji kwa usahihi na kuweza kufanikiwa.

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

10,000 Tsh.
(0.8)

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold