AKILI ILIYOPONYWA KUHUSU FEDHA
Hata serikali ya Muungano wa Tanzania ikiamua kuchukua mali zote\r\nza matajiri na kuamua kuwagawia watu wote na maskini kwa usawa\r\nkitakachotokea baada ya mwaka mmoja ni tajiri kubaki tajiri tena\r\nna masikini atabaki kuwa masikini tena. Watu wengi wakipata pesa\r\nhukimbilia kununua gari wakidhani tabia ya mtu kuonekana ana pesa\r\nni kuwa na gari, hapana, si kweli, usinunue gari ikiwa bado hujawekeza\r\nbaadhi ya mali. Wekeza mali nyingi sana kwa sababu zitakupa pesa\r\nnyingi ambazo zitakurahisishia kununua gari bila kupata maumivu. Gari\r\nitakusaidia kwenye usimamizi wa mali ulizowekeza. Nakushauri uwe\r\nna busara unapopata pesa. Ikiwa mshahara wako ndio chanzo pekee cha\r\nmapato yako, hiyo ni hatua ya kuelekea umaskini. Weka akiba katika kila\r\nmapato na utumie akiba hiyo kuwekeza. Soma kitabu hiki ukurasa hadi\r\nukurasa usiruke, baada ya kukamilika kwa kitabu hicho utapata uzoefu wa\r\nkiwango kingine cha maisha yako.

Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza