ELON MASK
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 25, 2026
Product Views:
7
Sample
Kitabu kinachofichua siri za mifumo ya akili na mafanikio ya kiuchumi ya mjasiriamali na tajiri mkubwa duniani, Elon Musk."
Je, umewahi kujiuliza ni nini kinachomfanya Elon Musk kuwa mtu wa kipekee na mmoja wa matajiri wakubwa zaidi duniani? Kitabu hiki kinakwenda ndani zaidi kukupa ramani ya siri (blueprint) ya mifumo ya kiakili (mindset) anayotumia kupata matokeo makubwa. Ukisoma kitabu hiki, utajifunza jinsi ya kuvunja mipaka ya uoga wako na kuanza kuthubutu
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Godius Rweyongeza