
FACEBOOK ADS MASTERY
Unataka Kuuza Zaidi Mtandaoni ? Hiki ni Kitabu Pekee Tanzania Kitakacho kufundisha Namna ya Kupaisha Mauzo yako mara 10 Zaidi ndani ya siku 4 au pungufu - Bila kupoteza PESA na Muda Wako BURE! utajifunza : .SIRI za kuwafanya wanunue bila kusita. Kuset matangazo ya kulipia Facebook na IG. Mikakati ya kunufaika na matangazo ya kulipia hata kama hujawahi kufanya kabla. SOMA. TUMIA .Ona Matokeo! .Muda wa Kuongeza Mauzo ni sasa.
Unataka kukuza biashara yako kupitia matangazo ya FACEBOOK na INSTAGRAM - Lakini hujui Pa kuanzia?
Kitabu hiki KItakufundisha kuandaa kampeni zenye mafanikio na kupaisha mauzo yako hata kama hujawai kufanya kabla.
kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au unataka kuwa mtalaamu wa masoko mtandaoni basi kama utapata bahati ya kusoma hiki kitabu ni kwa ajili yako
Ndani ya kitabu hiki utajifunza :
Jinsi Ads Manager ya fecebook inavyofanya kazi
Namna ya kutarget wateja halisi bila kupoteza pesa
Mikakati ipi utumie ili upaishe mauzo yako mara 10 ZAIDI
Namna ya kutumia budget ndogo hata 10,000 tsh na Kupata Faida kama wazimu
Namna ya Kuitumia PEA framework ambayo mimi na team yangu tunaitumia na itakushangaza
P.S. Kama Umewahi \\\\\\\"BOOST\\\\\\\" Post na hukupata Matokeo - Kitabu hiki ni Kwa ajili Yako.