Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jenga Brand Yako - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Jenga Brand Yako

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 16, 2021
Product Views:
743
In category:
Sample

Mwongozo wa Kujenga Brand Binafsi na Brand ya Biashara

Katika kipindi hiki chenye ushindani mkubwa kibiashara na mauzo, kuna sababu za kutosha kwanini unahitaji chapa binafsi na chapa ya biashara....

Tuna watu wenye sifa za kufanana, historia za kielimu za kufanana wana tafuta kazi za kufanana na hata wapatapo kazi wanakua na mawazo ya kufananana na kinachotokea tunapata bidhaa za kufanana,hivyo unahitaji chapa binafsi ili kua tofauti na wengine ,kuongeza ubunifu na kuonekana zaidi.

Katika biashara ,sokoni kumekua chaguzi nyingi nakampuni nyingi zinazalisha bidhaa zenye ubora na sifa zinazo fanana,hivyo biashara yako kua tofauti na kuongeza mauzo unahitaji chapa ya biashara yako ili uweze kuwapa wateja sababu ya kununua bidhaa yako. Kitabu hiki kitakusaidia;

• Kujenga chapa binafsi/biashara

•Kuongeza ushawishi

•Kuongeza thamani katika bidhaa/huduma utoayo

•Kutengeneza alama itakayo kutofautisha na washindani wako

•Kutengeneza jina zuri la biashara

More Products On Discount
5,000 Tsh. 4,000 Tsh.
(1)

Sold by: Peter Fabian

25,000 Tsh. 20,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

11,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Said Maumba

Best Sellers List
Best Seller
200 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Old is Gold