Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jifunze Kusaidia Wajane Na Yatima - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Jifunze Kusaidia Wajane Na Yatima

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 28, 2021
Product Views:
3,451
In category:
Sample

Kitabu hiki ni muongozo wa kupata baraka kupitia kuwasaidia Wajane na Yatima kwa maelekezo ya Biblia. Kitakufaa sana wewe unahitaji kupata baraka za Mungu kwa kuwasidia wengine.

Yapo mambo mengi sana ambayo ni muhimu katika maisha yetu, ambayo tunatakiwa
kuyatekeleza kabla ya muda wetu wa kukaa hapa duniani haujaisha. Na ikiwa mambo hayo ya msingi hatutayatekeleza maisha yetu yote hapa duniani hayatakuwa na maana kabisa.
Pamoja na majukumu mengi uliyo nayo katika dunia hii,hili jukumu usilisahau kabisa. Jukumu lenyewe ni kuwasaidia wajane, yatima na wasiojiweza. Biblia haimuungi mkono mtu yoyote duniani ambaye atatoa udhuru wa kutekeleza jukumu hili. Jambo hili si kwa mkristo tu bali ni kwa kila mwanadamu aliyejaliwa kuishi. Jambo hili limeonekana kama utumishi mdogo sana duniani lakini ni utumishi mkubwa sana mbele za Mungu. Mungu amenipa ujumbe huu nikufikishie sio kwa bahati mbaya hapana ni kwa makusudi kabisa. Unaweza kudhani ni bahati mbaya tu kitabu hiki kukufikia mkononi mwako la hasha ni makusudi kabisa ya Mungu ukipate ili ukisome na upate ujumbe huu. Usichoke rafiki jitahidi usome hakika utaelewa vizuri.
More Products On Discount
10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,500 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold