KATIKA NGOME IMARA : Muongozo Halisi Wa Maisha Ya Huduma Na Ya Kiroho
Kupitia kitabu hiki, utaweza kujifunza misingi na mambo ya muhimu na yasiyo ya hiari kwa kiongozi yeyote yule wa kiroho, anayejiandaa kulifikisha kundi alilokabidhiwa na mwenyezi Mungu katika nchi ya ahadi na ile iliyojaa kusudi la Mwenyezi Mungu, utajifunza mbinu tofautitofauti na namna unavyoweza kuliongoza kundi la Mwenyezi Mungu bila kuchoka na kwa upendo.
Katika ngome Imara (Muongozo halisi wa \\\\\\\\r\\\\\\\\n
maisha ya huduma na ya kiroho) ni kitabu cha lazima na cha muongozo halisi kwa Kila mtumishi, kiongozi wa kiroho na mlinda kundi la Mungu. Wewe unayeongoza na unayetumiwa na Mungu kwaajili ya kuwatumikia wanadamu na kutimiza mpango na kusudi lake Mwenyezi Mungu.
Kupitia kitabu hiki, utaweza kujifunza misingi na mambo ya muhimu na yasiyo ya hiari kwa kiongozi yeyote yule wa kiroho, anayejiandaa kulifikisha kundi alilokabidhiwa na mwenyezi Mungu katika nchi ya ahadi na ile iliyojaa kusudi la Mwenyezi Mungu, utajifunza mbinu tofautitofauti na namna unavyoweza kuliongoza kundi la Mwenyezi Mungubila kuchoka na kwa upendo.
Pia, Utapata maarifa ya kiroho yatakayokuwezesha kuongoza watu wa Mungu kwa misingi ya imani, uvumilivu bila kujeruhi au kujeruhiwa na kundi lako uliongozalo, bila kupoteza au kupotezwa ndani ya watu wale uwaongozao.
Ni njia na mbinu ambazo nimeweza kuzitumia na kuonyesha matokeo Chanya katika kipindi chote changu cha uongozi na utumishi kwa takribani miaka mitatu.
Hivyo kwa kuonyesha nia na kusudi la kusoma kitabu hiki, nakuombea kwa Mungu Roho Mtakatifu, akutie nguvu za kubaki katika hali ya imani na kutiwa nguvu katika kila kazi unayoifanya kwa kusudi na mapenzi ya Mungu
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza