Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kiburi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KIBURI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 20, 2022
Product Views:
1,247
In category:
Sample

KIBURI by Yuris Dutch ni Kitabu bora sana kwa afya ya ustawi wa kila Mtu.

Moja kati ya mambo makubwa yanayoendelea kuutesa ulimwengu wa mioyo ya watu duniani ni kiburi, kama kuna hali inayodondosha watu wengi katika siku hizi za karne ya 21 kutoka katika umaarufu hadi kutokujulikana kabisa  ni kiburi.Wanasiasa wakubwa nchini tunashudia jinsi wanavyoshushwa vyeo na wengine kufukuzwa kazi kabisa kwa sababu ya kiburi cha kuzimiliki nafasi walizopewa.Kiburi kimefanya watu wenye misuli ya kifedha Kuwadharau watu wasio na misuli ya kifedha, kiburi kimeondoa thamani ambayo kila mwanadamu alipaswa aipate kutoka kwa mwenzake. Kiburi kimeondoa sura halisi ya upendo ambao mwanadamu alipaswa awe nao kwa wanadamu wengine, kiburi kimeshika hatamu ya maovu yote ambayo mwanadamu angeweza kuyafanya katika ulimwengu huu. Mambo mengi yametokea kutokana na kiburi na matokeo yake ni ya kusikitisha. Kama kuna dhambi Mungu anampinga mwenye nayo moja kwa moja ni hii dhambi ya kuwa na kiburi.

Kitabu hiki kinaelezea mambo yote ya muhimu yanayogusa maisha ya mwanadamu katika kiburi, ubaya wa kiburi, sifa za mtu mwenye kiburi, Madhara ya kiburi, njia za kuepuka kuwa na kiburi na mengine mengi utayapata ndani ya Kitabu hiki.

Maandiko matakatifu yametumika Kama msingi wa mafundisho ya Mungu juu ya kiburi ili kila atakayesoma katika imani yake aweze kujua maana halisi ya dhambi hii mbaya ya kiburi inayoua watu wengi ndani bila ya wao kujua na matokeo yake yanakuja kudhihirika baadae kabisa. Karibu Mungu akubariki.

More Products On Discount
10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold